ILANI YA CCM 2010 PDF

alias ‘Msomaji Raia’ argued that if CCM was not Nyerere’s mother, and thus could Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Oktoba 31 ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA – UTANGULIZI 1. Katika Uchaguzi wa kushindanisha vyama vingi vya siasa ili kutwaa. wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka kwa by, , Mpigachapa Mkuu wa Serikali edition, in Swahili.

Author: Daijas Tauzil
Country: Bulgaria
Language: English (Spanish)
Genre: Life
Published (Last): 23 May 2011
Pages: 64
PDF File Size: 13.40 Mb
ePub File Size: 14.54 Mb
ISBN: 734-6-31735-886-9
Downloads: 3162
Price: Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader: Mikakree

Kuihamasisha sekta binafsi kutoa huduma ya pembejeo katika maeneo ya kilimo.

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Nyumba hizo zitajengwa kwa mpango ufuatao: Ili kuendeleza miundombinu ya bandari na kuimarisha uchumi wa Zanzibar, katika kipindi cha miaka mitano ijayo CCM itaielekeza Serikali kutekeleza hatua zifuatazo: Kuendeleza mafunzo kwa walimu wa Elimu Mbadala na Elimu ya Watu Wazima, kuwahamasisha vijana kujiunga na madarasa ya ii iii 97Elimu Mbadala na kuanzisha elimu endelevu Continuing Education kwa watu wazima.

Kuhamasisha wawekezaji wa ndani na wa nje kuwekeza katika uvuvi kwenye Bahari Kuu. Wananchi wamehamasishwa kuchangia ujenzi wa skuli mpya na kuongeza madarasa katika maeneo yao.

Nchi yenye fujo na vurugu haiwezi kujenga uchumi imara na kuwaletea maendeleo ya maana wananchi wake. Kuhamasisha wananchi kuendeleza miradi ya uzalishaji mali, hususan kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda ili kuhudumia sekta ya utalii na kujiendeleza kiuchumi. Kufufua vyuo 4 vya watu wenye ulemavu na kuvipatia rasilimali watu na fedha.

Sekta ya kilimo ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi yz maendeleo ya Zanzibar.

Ilani ya CCM 2010 – 2015

Vyama vya Ushirika ni chombo cha kuwaunganisha na kuwawezesha wananchi kubadili hali ya maisha yao na kujiendeleza kiuchumi. Kuanzisha vituo vya Huduma za Ufugaji Farm Service Centres na kuendeleza huduma za kinga na tiba ya mifugo.

Kuufanyia matengenezo makubwa uwanja wa Amani na kuimarisha miundombinu ya umeme katika uwanja wa Gombani Pemba. Kuimarisha mazingira ya kuwavutia wawekezaji wa nje na ndani ili kuwekeza katika sekta ya nishati ya umeme. Huduma za bandari zinao mchango mkubwa katika kukuza uchumi na ustawi wa jamii. Kufanya utafiti wa masoko na bei ili kupanua wigo wa mahitaji ya masoko ya bidhaa zetu.

  KOLBE-SCHMITT REACTION PDF

Kazi ya uwekaji wa njia ya pili ya umeme kupitia baharini kutoka Ubungo hadi Mtoni chini ya Mradi wa Millenium Challenge umewekwa saini. Watanzania walio wengi wanapungukiwa na maarifa ya uchumi wa kisasa, hawana mitaji na mazingira ya jamii yenye vikwazo 46vingi vinavyowafanya washindwe kushiriki katika uchumi wao. Kutoa mafunzo kwa walimu wa Skuli za Maandalizi na kutayarisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vikiwemo vitabu vya Elimu ya maandalizi kulingana na mihutasari mipya.

Kati yake 10 za zimamoto na 2 za kubebea wagonjwa.

Kuhakikisha kwamba kila mamlaka ya maji mjini inadhibiti upotevu wa maji katika eneo lake lote kwa kukagua na kukarabati mara kwa mara miundombinu ya maji ili huduma itolewe kwa gharama nafuu. Miundombinu imeongezeka ambapo hadi mwaka nyumba za walimu 26, madarasa 79, na matundu ya vyoo 97, vimejengwa.

Ilani ya CCM –

Kati yao wanafunzi 69, walipata mikopo ya elimu ya juu. Kuanzisha ujenzi wa ukumbi mpya wa Baraza la Wawakilishi. Kuwapatia mafunzo na vifaa vya kisasa wafanya kazi wa Kiwanja cha Ndege cha Zanzibar na Cfm Pemba pamoja na kuimarisha huduma za zima moto na usalama wa viwanja vya ndege.

Kufanya utafiti wa kina juu ya gharama za kufanya biashara nchini kwa lengo la kupunguza gharama hizo na kuchochea ukuaji wa biashara.

Kufanyia upembuzi na usanifu kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Bagamoyo. Kuendelea kutekeleza mpango wa kujenga maabara ya Sayansi na ya Lugha katika kila Shule ya Sekondari ili kuboresha ufundishaji. Idadi hiyo inakuzwa pia na vijana wanaomaliza mafunzo ya JKT. Kuendelea kuweka msukumo katika uandikishaji wa watoto wote wa rika lengwa katika ngazi ya Elimu ya Msingi kufikia asilimia mwaka Kuendeleza na kuboresha mfumo wa ukusanyaji, uhifadhi, uchambuzi na usambazaji wa taarifa za masoko.

  HOSHIN KANRI POLICY DEPLOYMENT FOR SUCCESSFUL TQM PDF

Baadhi ya mafanikio ambayo yamepatikana kutokana na hatua hizo ni haya yafuatayo: Kwa kutambua kwamba, wananchi walio wengi bado ni masikini na wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa maarifa, ujuzi na mitaji katika kilimo, biashara na ujasiriamali hali ambayo ni kizuizi cha maisha bora na mapambano dhidi ya umasikini, CCM itaielekeza Serikali SMZ kuendeleza jitihada za kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kutekeleza yafuatayo: Kuendelea kutekeleza mkakati unganishi wa kufufua na kuendeleza viwanda vya ngozi.

Kila mwananchi mwenye shughuli halali ya kufanya azame katika kujiletea maendeleo kwa kuendeleza shughuli hiyo.

Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii yaChama Cha Mapinduzi kitaitaka Serikali iyalinde mafanikio yaliyopatikana katika kila sekta na kuyaendeleza ili wananchi waendelee kufurahia matunda ya uhuru wa nchi yao. Huduma za jamii ndiyo maendeleo ya watu wenyewe. Kukamilisha Mpango Mkakati wa Usafirishaji wa Bidhaa na kuanza utekelezaji wake. Kuongeza upatikanaji na matumizi ya zana za kilimo kwa kuishirikisha ilank binafsi, kuhamasisha na kuwezesha vikundi vya wakulima, hususan vijana kupata mikopo ya pembejeo na zana za kilimo kutoka kwenye Mfuko wa Pembejeo.

Kuimarisha utoaji wa mafunzo kwa walimu wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Sayansi. Kuongeza kasi ya uunganishwaji umeme kupitia mifumo nje klani gridi kwa kuhamisha matumizi ya nishati jadidifu kama umeme wa jua, upepo na tungamotaka kupitia mradi wa TEDAP. Katika kutekeleza azma yake ya kuwaunganisha wananchi wa Zanzibar pamoja na sera zake za umoja, amani na mshikamano CCM imeendelea kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi wote wa Zanzibar na Tanzania kwa jumla.

Pia vyuo vya ufundi stadi vimeongezeka kutoka mwaka hadi mwaka